FANDOM


KurówPoland

Mahali pa Kurow katika Poland

Kurow (Kurów) ni kijiji katika Poland ya Kusini-Mashariki kwenye mto wa Kurowka. Iko katikati ya miji ya Pulawy na Lublin katika wilaya ya Lublin. Ina wakazi 2782 (2006).

Katika karne ya 15 BK kijiji kilipewa cheo cha mji chini ya sheria ya mji ya Magdeburg. Katika karne ya 16 BK ikawa kati ya miji ya Poland iliyopokea Uprotestanti.

Wakati wa migawanyiko ya Poland ikawa mwanzoni chini ya Austria, baadaye chini ya Urusi. Tangu 1918 imekuwa tena sehemu ya dola la Poland iliyoanzishwa upya.

Wojciech Jaruzelski aliyekuwa kwanza waziri mkuu, halafu rais wa Poland kati ya 1981 hadi 1990 alizaliwa Kurow.

Ad blocker interference detected!


Wikia is a free-to-use site that makes money from advertising. We have a modified experience for viewers using ad blockers

Wikia is not accessible if you’ve made further modifications. Remove the custom ad blocker rule(s) and the page will load as expected.

Więcej z Fandomu

Losowa wiki